Vipi! Hapa DStv tunasherehekea nanyi Nyerere Day 2016 kwa kuwaletea burudani kem kem.

Kwanza tunaanza na movie especially ilitoteuliwa kwasasabu ya siku huu maalum kwa jina Mwalimu Nyerere iliyoigwa na Steve Magere ambaye amefanikiwa kwa ukweli kumuiga rais wa kwanza Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Movie haswa inagusia vile Nyerere alivyo penda na kudumidha amani na umoja kwa waTanzania kwa njia ya Ujamaa.  Haya yote kwenye Maisha Magic Bongo Ijumaa  tarehe 14 Oktoba saa 16:55 EAT.

Baadaye kidogo waweza kujivinjari na movie bomba ya kihindi Ramji London Waley inayo mandhari ya maskini akipata. Ramji anapata bahati ya kwenda London huku majukumu ya kuisaidia familia yake ya kimaskini yakimkabili. Mila za kigeni za muweka majiribuni . Shuhudia  Ramji akijaribu kupata mapato ugenini na kama atafaulu. Tazama haya yote tarehe 10 Oktoba saa 20:00 EAT kwenye Maisha Magic Bongo (160).

Kama wapenda muziki usikose kutazama DStv kwa mziki na haswa kutoka Afrika Mashariki. Kipindi cha Mziki Hit 10 ambapo wanacount down the top videos. Patana na Diamond, Ali Kiba, Sauti Sol, Vanessa Mdee na wengineo. Make a date nasi saa 17:15 CAT kwenye Trace Mziki channeli (323)

Wapendwa watazamaji tutegemee kuserebuka na mavazi ya nakshi nakshi straight from Bollywood ndani ya Box Office. DStv inakuletea the latest Bollywood films kutoka Jumatano 12 Oktoba 2016. Kuna drama, romance na pia comedy katika movie hizi zinazo sisimua.

Kumbuka  BoxOffice ipo kwenye DStv packages zote za wanao DStv Explora. Hauna Explora? Jaza fomu hii ta tutawasiliana nawe ndani ya masaa 48 hours:

 

Related