Huba ya ndani Maisha Magic Bongo

Jifunze jinsi ya kutumia DStv Now kwa simu yako upate kuburudika na vipindi mbali mbali popote ulipo.

Michezo, filamu, tamthilia na vingine vingi vinapatikana sasa popote ulipo muda wowote, yote ni kwenye DStv now, application kutoka DStv inayomruhusu mteja wa DStv kuangalia vipindi liveCatch Up na kupata ratiba ya vipindi vyote kwa kupitia simu za mkononi au tablets. Ukitumia DStv Now au Catch Up, unamweza kutazama vipindi na tamthilia zako popote, wakati wowote. Na pia marudio ya vipindi ulivyokosa.

DStv Now inapatikana kwenye simu za mikononi aina ya iOS na Android zenye huduma ya intanet na uwezo wa 3G, 4G, au Wi-Fi, kwa wateja wote waliolipia kifurushi Premium na PVR au Extra View.

Jinsi ya kutumia huduma hii, fuata hatua hizi.

1: Ingia www.dstv.com jiunge na DStv connect .

2: Ingia App Store kwenye simu yako ya mkononi, download DStv Now

3: Jiunge kwa kutumia DStv connect ID uliyoipata hatua ya kwanza kisha ingiza namba za kadi (Smartcard) za akaunti yako ya DStv yenye kifurushi Premium na PVR au Extra View.

Mteja utapata fursa kupitia huduma hii kuangalia vipindi mbalimbali vya DStv yako popote pale ulipo kwa kutumia simu yako ya mkononi.

Download app ya DStv Now kwa iOS ama Android leo kuhakikisha hupitwi, kwa maelezo zaidi endelea tembelea www.dstv.com.

Vipindi vya Maisha Magic Bongo sasa vinapatikana ndani ya DStv Now na Catch Up:

1. Harusi Yetu

Harusi Yetu ni kipindi ambacho inakuletea safari ya wapendanao kutoka Tanzania, maisha yao, mahusiano yao mpaka kufikia ndoa.

 

2. Huba

Huba ni tamthilia mpya yenye misukosuko na ni HUBA pekee ndio suluisho la kumaliza tofauti kati ya familia mbili zilizogombana kwa miaka mingi.

3. Doli Armaanon Ki

Hii ni tamthilia ya Swahindi yenye simulizi za majonzi,furaha na nakshi nakshi tele yote aliyapitia Urmi, bila maisha ya ndoa yote haya.

 

 

4. Mchikicho wa Pwani

Kipindi hiki unaletewa na Mariam Migomba akitoa darasa la maadili katika jamii nzima, zaidi akimlenga mwanamke kama mfano wa kuigwa katika jamii.