DStv Eazy Self Service

Juhudimie kwenye simu yake popote ulita kusettle akaunti yako ya DStv.

Nenda sambamba na akaunti yako kupitia huduma binafsi za dstv, unaweza kujua mara ya mwisho umefanya malipo yako lini, na lini unapaswa kulipia tena na wapi pa kulipia na kiasi gani cha kulipia,  fanya hivi:

Kwa simu yako ya mkononi bonyeza *150*46#

•    Angalia salio la akaunti yako
•    Fahamu tarehe akaunti yako lini itakatika
•    Fungua akaunti yako baada ya kulipia
•    Fahamu tarehe ya Malipo ya mwezi ya mwisho kufanyika
•    Fahamu kifurushi  unachokitumia

Kama una huduma ya intanet ingia – kwenye website ya DStv Eazy Self-Service 

•    Ingiza jina lako au namba ya simu iliyopo kwenye akaunti
•    Ingiza akaunti namba au smartcard namba
•    Hakiki taarifa zako muhimu, mfano namba ya simu, eneo unaloishi, barua
pepe
•    Angalia njia za kufanya malipo ya akaunti yako mfano: Selcom paypoint, Mpesa, Airtel, Tigopesa Multichoice Tanzania Agent.
•    Fungua akaunti yako kwa kuondoa meseji iliyopo kwenye runinga yako baada ya malipo mfano: E-16, E-30
•    Angalia kiasi cha pesa ulichonacho kwenye akaunti yako na mtiririko wa malipo yako kwa miezi mitatu nyuma.
•    Angalia aina za vifurushi na chaneli zilizopo kwenye kila kifurushi

Unaweza pia kupata taarifa hizi zote na nyingine nyingi ukitembelea website yetu.