DStv Compact Campaign

EPL, La Liga na Euro 2016 zaongezwa katika kifurushi cha DStv Compact

Msimamo wa Jumla:

 • Kipaumbele kikuu cha MultiChoice ni kuzingatia na kuyaweka moyoni mahitaji ya wateja kwenye kila kitu tunachokifanya.
 • MultiChoice inatambua kwamba tunaishi katika nyakati ngumu za kiuchumi na tunataka kuwasilisha habari njema kwa wateja wetu.
 • Sasa DStv inawaletea wateja wa kifurushi cha Compact matukio bora kabisa ya soka ulimwenguni bila gharama za ziada au ongezeko la bei ili kuwashukuru kwa kuendelea kutuunga mkono.
 • Mara kwa mara MultiChoice Africa huzifanyia tathmini huduma zilizomo katika vifurushi vyake na bei zake katika soko lenye nguvu sana ambalo husababisha mabadiliko katika biashara yetu. Tunafanya hivi kwa nia na lengo moja-daima kuwafurahisha wateja kwa kuwapa thamani zaidi.
 • Kwa mfano kila mara tunaongeza huduma mpya na thamani kwa wateja wetu wa kifurushi cha Premium ikiwemo Express kutoka US (Marekani), DStv Now, Box Office na Catch Up.
 • Kuanzia Jumanne, tarehe 23 Februari 2016, ligi bora za soka ulimwenguni, Ligi Kuu Ya Uingereza( the Barclays Premium League-EPL), Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), pamoja na Kombe la Mataifa ya Ulaya (Euro 2016) zitapatikana katika kifurushi cha Compact bila gharama ya ziada!
 • Ofa hii kabambe itakuwa inapatikana katika chaneli mbili mpya za michezo, SuperSport 11 na SuperSport 12. Chaneli hizi zitapatikana ifuatavyo:
 • Channeli 211 -SuperSport HD 11 – kurushwa kwa pamoja kwenye IS20 na E36B
 • Channeli 212 - SuperSport HD 12 – kurushwa kwa pamoja kwenye IS20 na E36B
 • Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) itapatikana kwenye SS11 na Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) itapatikana kwenye SS12.

Hizi ni habari njema kwa wateja wetu wa kifurushi cha Compact wapenzi wa soka kwani burudani hii ya soka isiyo na kikomo itapatikana kwa miezi mitatu(3) ijayo. Msimu wa sasa wa soka utafuatiwa na mashindano ya Mataifa Ya Ulaya (Euro 2016) kuanzia tarehe 10 Juni mpaka 10 Julai 2016.

Ratiba Ya Mechi Zijazo

LIGI KUU YA UINGEREZA(EPL)

TAREHE

MECHI

MUDA (EAT)

CHANELI

Jumamosi, 27 Feb

West Ham United vs. Sunderland

15h00

SS11

Jumamosi, 27 Feb

Leicester City vs. Norwich City

17h45

SS11

Jumamosi, 27 Feb

West Brom vs. Crystal Palace

20h00

SS11

Jumapili, 28 Feb

Manchester United vs. Arsenal

16h00

SS11

LIGI KUU YA HISPANIA(LA LIGA)

TAREHE

MECHI

MUDA(EAT)

CHANELI

Ijumaa, 26 Feb

Eibar vs. Las Palmas

22h25

SS12

Jumamosi, 27 Feb

Real Madrid vs. Atletico Madrid

17h55

SS12

Jumamosi, 27 Feb

Sporting Gijon vs. Espanyol

20h10

SS12

Jumamosi, 27 Feb

Real Betis vs. Rayo Vallecano

22h25

SS12

Jumapili, 28 Feb

Villareal vs. Levante

13h55

SS12

Jumapili, 28 Feb

Valencia vs. Athletic Bilbao

16h55

SS12

Jumapili, 28 Feb

Deportivo La Corunya vs. Granada

20h10

SS12

Jumapili, 28 Feb

Barcelona vs. Sevilla

22h25

SS12

 

 

 

Tafadhali Zingatia:

 1. Ratiba hizi zilikuwa sahihi wakati wa kusambazwa kwa ratiba hii na zinaweza kubadilika.
 2. Kwa taarifa zaidi na za wakati uliopo, Bonyeza “OK” na kisha chagua SuperSport Active Option.
 3. Mechi zote zinaonyesha moja kwa moja(live) labda tu kama itakuwa imeandikwa tofauti, kwa mfano “Delayed”
 4. Mida iliyoonyeshwa hapo ni wakati SuperSport itakapoanza kurusha matangazo yake.

 

Imetolewa na MultiChoice Tanzania.