DStv HD decoder

Pata kifurushi ya DStv Bomba kwa shilingi 22,000 tu na upate burudani tele.

DStv Bomba ni kifurushi kinachokidhi mahitaji ya kila mteja mahsusi kwa watanzania chenye channeli zaidi ya 65, ambacho gharama yake ni Sh. 22000 tu kwa mwezi.

Kwa gharama hii nafuu utapata burudani zote kabambe, zikiwemo za kitaifa kupitia chaneli zetu kama ITV, Star TV, Channel 10, na TBC na burudani za Kimataifa kwenye chaneli zaidi ya 60 zilizomo baadhi yake ni Maisha Magic East, Discovery World, CBS Action, CBS Reality na CBS Drama.

Pia hutopitwa na vipindi motomoto zinazofuatiliwa na wengi mjini kwasasa. Hapa tunazungumzia zile chaneli zetu maarufu zaidi kwa telenovela na series kali masaa 24, Telemundo na Zee World zinapatikana ndani ya kifurushi hiki.

Soka haijaachwa nyuma, tuna SuperSport Select na SuperSport Select 2 ambazo zitaonyesha ligi kuu ya Uingereza, Kombe la klabu bingwa Ulaya, Ligi Kuu ya Hispania, pia tuna na riadha na ngumi kwenye chaneli hizo, bila kusahau SuperSport Blitz inawaletea habari zote za michezo.

Mfano wikiendi hii kutakuwa na mechi kati ya Arsenal vs. Stoke City EPL kwenye Select 2. Pia Celta Vigo vs. Las Palmas La Liga kwenye Select 2.