Ramires of Chelsea in action.

Wajua kwamba timu ya Arsenal haijawahi ishinda Chelsea tangu mwaka wa 2011 walipoilaza the Blues 5-3? Wewe kama shabiki wa soka, unaona matokea haya yakibadilika Arsenal watakapopokea Chelsea nyumbani kwao Emirates Stadium?

Mechi hii kubwa ya wikendi yakujia siku ya Jumamosi 24 September saa 18:30 CAT moja kwa moja kwenye SuperSport11 ndani ya DStv Compact.

Pata DStv Compact kwa TZS 84, 500 tu.

Ukiiangalia ratiba ya soka wikendi hii ndani ya DStv, pia Manchester United itapambana na Leicester City, Jumamosi 24 September saa 13:30, Old Trafford

Liverpool v Hull City, Jumamosi 24 September saa 16:00, Anfield

Kutana na wachambuzi wetu wa soka Abubakari Liongo, Edo Kumwembe na Oscar Oscar wakitoa maoni yao kuhusu mechi za wikendi hii kwenye Ligi Kuu ya Uingereza kwenye video hii:

 

Wewe ni shabiki wa Ligi Kuu ya Uingereza na pia LaLiga? Usikose mechi hizi za wikendi, jaza fomu hii na tutakupigia simu ndani ya masaa 48 upate dekoda yako ya DStv kwa urahisi: