Furahia mechi kali kutoka kwenye ligi bora duniani.
DStv inakupatia soka lisilipimika, ligi zote kali pamoja na mechi zote kubwa na maarufu. Mubashara tena kwa muonekano ang’avu wa HD! Bila kusahau uchambuzi wa kina kupitia chaneli zetu mahsusi za Supersport.
Ukiwa na DStv Premium, wewe ni mshindi
Furahia chaneli zote za Supersport ndani ya kifurushi cha DStv Premium huku ukipata mechi zote kabambe za ligi kubwa. Furahia yote haya huku ukipata Showmax bila malipo ya ziada.
Kata kiu yako ya soka kwa kuchagua kifurushi unachostahili
DStv ina vifurushi tofauti vyenye kukidhi mahitaji yako.
Endesha akaunti yako kwa urahisi kwa kutumia App ya MyDStv
Ukiwa na DStv app, utaweza kulipia na kupata huduma haraka. Kama mteja wa DStv unaweza kulipia, kutoa ujumbe, kubadili kifurushi au kubadili taarifa zako muhimu kwa urahisi kabisa.
Pata michezo, tamthilia, filamu na Drama kabambe za kusisimua. Jiunge na DStv Now, Showmax
pamoja na Boxoffice- Vyote ndani ya MyDStv App