Wema Sepetu na Idris

Kwenye exclusive na DStv, Idris asema kuwa ndoa yake na Wema Sepetu itakuwa very soon.

Sasa hivi katika stori za mastaa wa bongo zinazoongelewa sana ni pamoja na uhusiano wa kimapenzi wa Idris na Wema Sepetu.

Baada ya Wema kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa anao ujauzito wa Idris, swali lililofata kwa Idris ni kuhusu mpango wa ndoa.
 
Mbali na Idris na Wema Sepetu, mapenzi pia yamenoga kwenye Maisha Magic East kwenye Sumu la Penzi kila Jumamosi saa 19:30 hadi 21:00.
 
Akiongea kwenye exclusive na DStv.com, Idris amesema ndoa yake na Wema itakua very soon, yani angependa sana kuifanya hivi karibuni japo hajajua kama itakua ni baada au kabla ya mtoto kuzaliwa.
 
Kwenye sentensi nyingine, Idris amesema anamalizia episode nane za show yake ya vichekesho itakayoonekana kwenye BET Africa na sasa atakua comedian kwenye headlines za kimataifa.
 
Amesema show hiyo itakua kwenye lugha ya Kiswahili na English ili kuweza kufanikiwa kuwafikia watu katika mataifa mbalimbali ya Afrika.
 
Mbali ya Sumu la Penzi, unaweza kuitazama DStv Catch Up ambayo inayo vipindi kama The Good Wife kwenye DStv Explora. Jaza fomu hii kupata Explora yako kwa urahisi:
 
Fill out my online form.