Koku Gonza ni Mmarekani mwenye asili ya Tanzania, ni mwanamuziki ambaye alizaliwa Marekani miaka 30 iliyopita kwenye familia ya mama Mmarekani mweusi na baba Mtanzania kutokea Bukoba.

Baadhi ya Watanzania walianza kulisikia jina lake kwa sana baada ya kuonekana kwenye series maarufu ya Empire ambayo alionekana kwenye kazi yake ya muziki.

Empire ipo kwenye break hivi sasa lakini usikose kuona kipindi moto moto Tyrant S3 iliyoanza Alhamisi 21 July at 22:00 kwenye FOX (125), Express from the US. Waweza kuona episode zilizopita za Tyrant kwenye DStv Now au DStv Catch Up lakini lazima uwe na DStv Explora.

Yafuatayo ni mambo unatakiwa kuyajua kuhusu Koku Gonza ambaye sasa hivi ana wimbo mpya kwenye mtandao wa Youtube unaitwa 'conveniently rolling'

Koku atasafiri mpaka Tanzania kwa mara ya kwanza December 2016 kwenda kusalimia familia yake ambapo anao kaka na dada wamechangia baba lakini hawajawahi kuonana japo ni watoto wa baba mmoja.

Siku zote amekua akiwasiliana na ndugu zake wa Tanzania kwa simu tu na mawasiliano ya mtandao lakini hawakuwahi kukutana nao, hata wa upande wa Tanzania hawajawahi kwenda Marekani.

Koku amekiri kwamba kushiriki kwake kwenye sehemu ndogo tu ya series ya Empire kulikua na malipo mazuri na ametaka Watanzania na mashabiki wasubirie labda ataonekana kwenye msimu mpya.

Vipindi zingine mpya za kutazama kwenye DStv:

The Night of, Friday at 23:00 on M-Net Edge. Also available on DStv Catch Up.

Ray Donovan S4, Tuesday at 03:00 on M-Net Edge, Express from the US. Also available on DStv Catch Up.

Suits S6, Thursday at 20:30 on M-Net (102). Also available on DStv Catch Up.

Mr Robot S2, Thursday 21:00 on M-Net Edge. Also available on DStv Catch Up.

Ballers S2, Monday at 21:30 on VUZU AMP (103).

Survivor’s Remorse S2, Monday at 22:00 on VUZU AMP.