Yamoto Band kutoka Tanzania

Tunakumbuka  msanii Diamond Platnumz alipoamua kuwaunga mkono band ya muziki wa bongofleva Yamoto Band kutoka Tanzania mwaka wa 2015 ili kuboresha muziki wao.

DStv ilikutana na Yamoto Band tena walipokuwa kwenye Coke Studio Africa mjini Nairobi, Kenya na wameyaongelea mengi kuhusu band yao na muziki wao kwa ujumla hasa wanavyopokelewa nyumbani  Tanzania na mahusiano yao na Diamond.

Tusikupotezee wakati, itazame video hii hapa chini, uyasikie yote kwenye exclusive:

 

Kama unapenda nyimbo za Yamoto Band ungana nao kwenye show ya Mzooka, Jumatatu hadi Ijumaa saa 16:00 kwenye Maisha Magic Bongo (160).