Video director wa bongofleva Tanzania Hanscana

Tunaye director Hanscana kwenye hii post, ni director ambaye mikono yake mpaka sasa imeshafanya kazi ya video za mastaa wa bongofleva wakiwemo Jux, Vanessa Mdee na Dogo Janja.
 
Video hizi unaweza kuzitazama kwenye show ya Mzooka, Jumatatu hadi Ijumaa saa 16:00 kwenye Maisha Magic Bongo.
 
Kwenye hii exclusive interview Hanscana amejibu mengi ambayo wengine wangetamani kumuuliza, kuhusu video zake kukataliwa TRACE na MTV Base, bongofleva kuchezwa kwenye vituo vya TV vya kimataifa na mengine.
 
Mtazame kwa urefu kwenye hii video hapa chini: