Rapper Young Killer kutoka Tanzania

Kutana na msanii rapper kutoka Tanzania ambaye of course anabamba kwenye game ya bongofleva akifahamika kama Young Killer Msodokii ambae kwa sasa hivi anatambana ngoma yake Sinaga Swagga.
 
Burudika na muziki ya Young Killer kwenye Mzooka siku ya Jumatatu hadi Ijumaa saa 16:00 ndani ya Maisha Magic Bongo.
 
Hitmaker huyu wa Sinaga Swagga amekuletea mengi ya kumsikiliza na kumjua kiundani kuhusu yeye binafsi vitu anavyopenda mbali na mziki, mapishi na kadhalika. Msikilize: