Msanii Harmonize kutoka Tanzania

Harmonize almaarufu kama Raji kama anavyo tamka mpenzi wake Wolper, wiki iliyopita alikua nchini Kenya kufanya media tour ya single yake ya Niambie. Alitudodosea mengi sana kuhusu yeye na muziki wake kwa ujumla na haswa kipi kilipelekea kumweka Wolper kwenye video yake.

Kutana na Harmonize kwenye Mziki Hit 10, kila Ijumaa saa 17:15 ndani ya TRACE Mziki (323).

Pia kwenye hii exclusive interview ameelezea wazi wazi uhusiano wake na Diamond Platnumz na jinsi walivyokutana na alivyomsaidia kimuziki mpaka hapa alipofikia kama msanii.

 

Tukiwa katika harakati za kumaliza wiki hiyo ya media tour Nairobi, Harmonize akaona haitoshi akamua kuachia chuma kingine Show Me akimshirikisha Rich Mavoko amabyo sasa inatambaa kwenye hit waves za Afrika Mashariki.

Mengi ndani ya DStv.com, Diamond sasa azindua perfume yake inaitwa Chibu Perfume. Soma zaidi hapa.