Msanii wa bongofleva Shilole

Msanii wa bongofleva kafanya video mpya Ulaya

Kwenye post hii nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shilole ambaye ni miongoni mwa wasanii wa kike wanaomiliki headlines.

Kwenye dstv.com, Shilole amesema kaifanya video yake mpya Ulaya ya wimbo wa Malele.

Ungana na DJ Creme de la Creme anayekuletea video moto moto kwenye The Hit List saa 22:00 kwenye Maisha Mgic East (158).

Amesema ameamua kuifanya Ulaya ili kuleta tofauti na video zake zilizopita. 

Kwenye video hiyo kwa asilimia kubwa kaonekana na mzungu ambaye ndiye ameigiza kama mume wa Shilole.

Ni video ambayo soon itaanza kuonekana kwenye TV za Tanzania na baadhi ya TV za kimataifa.