Bongo producer Sheddy Clever

Producer wa bongo Sheddy Clever akutana na mic ya DStv na kufafanua kwa nini amemblock Rick Mavoko kwenye Instagram

Kwenye hii post nakukutanisha na producer kutoka bongoflevani Sheddy Clever ambaye ametengeneza hits nyingi tu kwenye chart kama za Diamond Platnumz na Shetta.

Ungana na Diamond na wasanii wengine wa Afrika kwenye Base Lines, Jumatano saa 18:05 kwenye MTV Base (322).

Alikua na exclusive interview baada ya kukutana na Millard Ayo ripota wa dstv.com Tanzania na kuzungumza kwanza kwa nini amewablock Instagram Rich Mavoko na Timbulo.

 Zaidi mtazame kwenye hii video hapa chini.