Msanii Shaa kutoka Tanzania

Shaa, mwanamziki jutoka Tanzania kwa sasa hivi bado anatamba na ngoma yake ya awali iliobeba title ya Sugua Gaga.

Patana na Shaa na hit yake ya Sugua Gaga kwenye ya Bongo 10 kila Alhamisi saa 20:00 ndani ya Trace Mziki (323).
 
Tumekutana naye kwenye interview ambapo amedai kuwa yeye ni kama jembe katika muziki na anaweza akaonesha kipaji chake kwa kufanya kitu tofauti kama alivyozoeleka katika bongofleva na kufanya muziki wa unaosemekana kwa jina lingine wa pwani yani Taarab.
 
 
Shaa amesema haya, “Umeniuliza kipindi ambacho ndio nawasiliana na mtu hapa kuhusu hilo...Naweza kufanya nikipata wimbo mzuri, mtunzi mzuri naimba taarabu bila tatizo lolote."