Mwimbaji staa wa bongofleva Vanessa Mdee amekaa kwenye Exclusive interview na dstv.com ikiwa ni siku chache kabla tuzo za MTV.

Mwimbaji staa wa bongofleva Vanessa Mdee amekaa kwenye Exclusive interview na DStv.com ikiwa ni siku chache kabla tuzo za MAMA's.

Toka ametoa hit single ya kwanza ya Closer June 2013, hajafikisha hata miaka mitatu ila mafanikio yake yamekua makubwa na tayari ameweza kuitwa kwenye masoko makubwa ya muziki ikiwemo Nigeria na South Africa.
 
V amesema kilichomfanya awe na mafanikio makubwa ikiwemo kuwa nominated tuzo za MTV ni pamoja na kufanya research kabla ya kuingia kwenye muziki.
 
Kabla ya kuingia alikua mtangazaji wa Radio, alitumia muda mwingi kuangalia soko lakini pia kuwa na mipango anayoitekeleza ikiwemo kujitangaza na kucheza vizuri na watu wenye nguvu kwenye kiwanda cha muziki.
 
Kama ulikua hujui, V Money anasema huwa anajipangia ratiba zake mapema sana yani anapanga ratiba za miezi mitatu ijayo.
 
Tuzo za MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal 2015 zataoinyeshwa barani Africa katika MTV Base (DStv channel 322), MTV (DStv channel 130) and BET (DStv channel 129) siku ya Saturday, 18 July at 21:00 CAT.

Related