Msanii wa Tanzania Rayvanny

Kutana na Rayvanny kutoka Tanzania chini ya label ya WCB ambae anatuletea machache kwenye interview hii na DStv.
 
 
Kutana na Rayvanny kwenye Mzooka siku ya Jumatatu hadi Ijumaa saa 16:00 ndani ya Maisha Magic Bongo.
 
Rayvanny ambaye kwa sasa hivi anatamba na hit song alioimba na Queen Darling Kijuso  ametupa exclusive ya kitu ambacho hatasahau kwenye maisha yake na yale aliyopitia kwenye safari yake ya mziki. Msikilize: