Kundi kutoka Tanzania Navy Kenzo

Navy Kenzo kwenye list ya watakaotumbuiza Hiphop awards 2017 Uganda

Good news kwa mashabiki wa Navy Kenzo all the way from +255 Tanzania ambao ni miongoni mwa wasanii wanaohit na kukua kwa kasi kwenye industry ya bongofleva.

Navy Kenzo ambao kwa sasa hivi wanatambaa na album yao AIM (Above in a Minute) tumewasogeza leo kwenye headlines baada ya kupata shavu nchini Uganda kwa mwaka huu 2017.
 
Kutana na Navy Kenzo kwenye Mziki Fresh, Jumatano saa 18:00 kwenye Trace Mziki (323).

Kundi la Navy Kenzo limetajwa kuwasha moto katika stage za kusherehekea utoaji tuzo za Hipipo Music Awards 2017 huko Uganda.

Tuzo hizo zinatarajia kutolewa Jumamosi hii ya Februari 4 katika ukumbi wa Kampala Serena Hotel.

Maisha Magic Bongo yakuletea filamu za kusisimua Februari hii. Soma mengi hapa.

Wasanii wengine ambao wataperfom moto katika jukwaa hilo ni pamoja na Navio, Bebe Cool, Ziza Bafana, Maureen Nantume, Sauti ya Africa, Charlyand Nina na wengine.

Pia uliyaskia ya Diamond na Zari kupata shavu kule nchini Afrika Kusini? Pata uhondo kamili hapa.