Msanii kutoka Tanzania Mwana FA

Mwana FA ni miongoni mwa marapper wanaotamba tangu enzi  mpaka sasa hajashuka chati kwenye bongofleva ambapo hivi sasa anatamba na hit song yake Dume Suruali aliyomshirikisha Vanessa Mdee.

Collabo hiyo akiwa na Vanessa ni moja kati wimbo ambazo zimetokea kupendwa zaidi na vijana wengi kutokana na mashairi ya wimbo huo.

Burudika na hit hii ya Dume Suruali kwenye Mziki Fresh, Jumatano saa 18:00 kwenye Trace Mziki (323).

Rapper huyo amedai sio kitu cha kawaida katika muziki wake ingawa kuna baadhi ya wasanii wenzake wamekuwa wakifikisha idadi hiyo ya views kwa muda mchache.

Mengi kwenye DStv, Rayvanny ana maoni gani kuhusu wanawake? Ni kiki ama ni stress tu?

“Najua najua, kwamba sio namba kubwa hii kwa baadhi ya wasanii,actually ni kanamba flani kaduchu tu,ila kwangu its a big deal..kwa hivyo sitakaa niigize hapa kuwa "this is how we do it" na "it’s normal," no it’s not,sio kawaida, nashangaa, asanteni sana,” aliandika Mwana FA kwenye Instagram.

Aliongeza, "Now about tukifika 3m tunatoa ngoma nyingine?n ow lets get to 3m. shukrani sana!…Nawaombea Wiki Njema Mahangaikoni… #DumeSuruali Faaaalsafa!"

Rapper Darassa amesema nini kuhusu album yake? Soma hapa.