Msanii kutoka Tanzania Matonya

Leo tunae msanii mkongwe kwenye game ya bongofleva mkimfahamu kama Matonya ambae kwa sasa anatamba na hit song yake mpya Sugua Benchi.
 
Kwa burudani tele kutoka kwa wasanii wa Tanzania, usikose kutazama Mzooka ndani ya Maisha Magic Bongo, Jumatatu hadi Ijumaa saa 16:00.
 
Matonya amekuja na haya machache ambayo ameyaweka bayana kwetu na baadhi ya mambo aliyoyaongea ni kama idea ya hit song yake ya Sugua Benchi na maisha yake baada ya ukimya mrefu.