Msanii wa bongofleva Linah Sanga

Linah Sanga azungumza na DStv

Mwimbaji maarufu wa bongofleva Linah Sanga alikutana na reporter wa dstv.com Millard Ayo na kufanya naye interview fupi kuhusu mipango yake kwa sasa baada ya hit single ya Olethemba ambayo ilichezwa mpaka kwenye MTV Base (DStv channel 322).

Tazama kipndi cha Most Voted Playlist Jumamosi 27 June saa 15:00 kwenye MTV Base upate kujua ni video zipi zinazovuma zaidi.
 
Kwenye hii video hapa chini anazungumzia kazi baada ya Olethemba pamoja na nyimbo zake tatu zilizowahi kumpa pesa nyingi.