Ali Kauleni Hassan kwenye Mchaka Mchaka

Ni mwanahabari anayesifika kote kwa umaarufu wake wa uchanganuzi na utangazaji wa soka redioni na pia televisheni. Ali Kauleni Hassan ni nahodha wa kipindi cha Mchaka Mchaka kwenye SuperSport.

Jiunge na Kauleni kwenye Mchaka Mchaka, kila Jumanne saa 19:30, SuperSport9 East ndani ya DStv 219.

Uliyaskia ya DStv kuongeza chaneli za SuperSport kwenye vingamuzi vya Compact Plus, Compact, Family na Access?

Labda wajiuliza, ni nini haswa spesheli kushusu kipindi hiki? Ni vitu vipi vinavyoangazwa na Mchaka Mchaka ambavyo huwezi kuvipata kwenye vipindi vingine vya spoti?

Ali Kauleni mwenyewe, mpenda soka tangu awe tumboni mwa mamake, akuelezeaa yote kwenye video hapa chini. Kamusi pia waweza kuiweka karibu.

 

Pia kutana na nahodha Anorld Kanyang’onda akikuelezea mengi kuhus Simba Super Soccer.