Mwigizaji wa Tanzania Kajala kwenye interview

DStv yajua mengi kuhusu mwigizaji wa Tanzania Kajala

Kajala ni miongoni mwa waigizaji wa Tanzania wenye majina na hata wafuasi wengi kwenye mtandao wa Instagram sasa hivi, nafasi ya kwanza ikishikwa na Wema Sepetu, ikifatiwa na Lulu, Jackline Wolper na kisha Kajala.

Jiunge na waigizaji wengine kwenye filamu Uncle Moo, Sunday 19 April saa 19:00 kwenye Maisha Magic Swahili.

Amekutana na mic ya DStv leo kujibu maswali kadhaa ikiwemo kama atasema Yes au No akiitwa kwenye video ya bongofleva? Anahamia lini nyumbani kwake? Pishu ni nini? Jua haya na mengi kuhusu Kajala kwenye hii video:

 

Usisahau kutazama Maisha Magic Swahili inayo filamu za kuburudisha wikendi yako.