Mwakilishi wa Tanzania wa BBA 2012 Julio Batalia

Julio Batalia asema mengi kuhusu dili za muziki alizozikataa kule Nigeria.

Leo nakukutanisha na Julio Batalia, mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa 2012.

Kuna mengi ya nyuma ambayo hatukuwahi kuzungumza naye anayaongea leo ikiwemo ishu yake ya kuingia kwenye muziki na kukataa dili kadhaa za Nigeria baada ya kutoka BBA.

Pata kukutana na mastaa wengine kwenye kipindi cha Wakilisha saa 16:00, Jumatatu hadi Ijumaa kwenye Maisha Magic.

Bonyeza hii video hapa chini ukutane na kauli zake mwenyewe.