Mwigizaji wa Huba ndani ya Maisha Magic Bongo

Leo tunakuletea waigizaji mbali mbali kutoka Tanzania kwenye tamthilia mpya Huba ndani ya Maisha Magic Bongo (channel 160) kuanzia Jumanne 8 Novemba saa 19:30.
 
Waigizaji hawa mahiri wa bongo movie, nadhani unawafahamu kama Bi Mwenda, Ramie Ganis, Grace Mapunda, Muhogo Mchungu na Irene Paul. Basi wasikilize na ujue Huba ni nini na sababu kubwa ya wewe uvutiwe kuitazama: