Host wa Harusi Yetu kwenye Maisha Magic Bongo

Harusi Yetu ni kipindi ambacho utapa kujifunza vitu vingi katika maisha ya wapendanao kutoka Tanzania, mahusiano yao mpaka kufikia ndoa. Kipindi hiki mpya itazame ndani ya Maisha Magic Bongo (160) kila Jumaapili saa 18:00.

Kwenye exclusive hii, utana na host wako wa Harusi Yetu ambao ni Salma Msangi na Pennyl ambapo DStv imeweza pia kumpata na producer wa show hii. Wasikilize hapa chini: