Msanii Vanessa Mdee

Leo kwenye DStv.com tuko na mrembo from Tanzania Vanessa Mdee kutoka bongoflevani ambae ni mwanadada anaefanya vizuri sana katika wasanii wakike wa Afrika na hit song yake ya Niroge.

Uliyaskia ya Vanessa na Trey Songz?

Amezungumzia furaha yake kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Africa Music Awards (MAMAs) Oktoba hii kule Afrika Kusini. Pia amezungumzia ni vipindi gani vinamvutia kwenye DStv na mengine mengi kwenye video hii hapa chini:
 

Usikose kutazama MTV Africa Music Awards itapeperushwa moja kwa moja siku ya Jumamosi 22 Oktoba saa 21:00 CAT kwenye MTV Base (322).