Msanii wa Uganda Jose Chameleone

Jose Chameleone akutana na mic ya DStv kufafanua mengi kuhusu collabo yake na wanamuziki wa KiNigeria.

DStv ilipata nafasi ya kufanya exclusive interview na Dr. Jose Chameleone wa Uganda kwenye red carpet ya tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 kule Durban South Africa.

DStv yakuletea tena tuzo lingine la MTV Video Music Awards 2015 itakayopeperushwa LIVE kwenye MTV (DStv channel 130) Jumatatu, 31 August saa 04:00.

Kwenye hii exclusive, Chameleone ameweka wazi kwa mara ya kwanza kolabo yake kubwa anayofanya na Wasanii wa Afrika kutoka upande wa Nigeria.

Jua mengi kwa kutazama hii video hapa chini.