Mtanzania Shilole

Mwigizaji/mwimbaji wa Tanzania Shilole afafanua mengi kuhusu filamu na muziki yake

Kumbe mwimbaji/mwigizaji Mtanzania Shilole ameipotezea filamu kikweli kweli? Jibu lake lina maelezo marefu kwenye hii video hapa chini na amejibu maswali mengine muhimu kutoka DStv.com.
 
Pia ungana na waigizaji wengine kutoka bongowood kwenye filamu za December kama Karoge Tena, Alhamisi 17 December saa 19:35 EAT kwenye Maisha Magic Bongo (160).
 
Tazama hii video hapa chini na uyajue mengine ya Shilole.