Diamond na mke wake Zari kwenye cover ya Mamas and Papas South Africa

Kutana tena na Diamond Platnumz na mkwe wake Zari ambao ni miongoni mwa couple zinazotrend sana na kudumu katika mahusiano kwa miaka flani.

Wakati walikuwa wakimsubiria mtoto wao wa pili Nillan December 2016 wakiwa Afrika Kusini walipata shavu la kushoot jarida la Mamas and Papas.

Rapper Darassa alisema nini kuhusu msanii Diamond Platnumz? Soma yote hapa.

Na sasa jarida hilo linaingia mtaani February mwaka huu. Kupitia Instagram, Mamas and Papas, wameshare cover lake ambalo limepokelewa na maoni tofauti.

Zaidi hii ni couple inayotrend sana kwenye social media lakini pia ni couple ambayo imeonesha msamo flani na unaoweza kuigwa na jamii.
 
 
Mengi ya maisha ya mapenzi na familia, usikose kutazama telenovela mpya The Son I Never Knew itakayoanza tarehe 23 Januari saa 17:10 kwenye Telemundo (118).