Diamond Platinumz's manager batalia

Bab Tale atuelezea juu ya collabo kati ya Ushe na Diamond

Ni stori ambazo tumekua nazo mtaani kwa kipindi kidogo ila mpaka zimefika hapa ujue tumepata kauli sahihi ambayo itasema ukweli.
 
Bab Tale ni meneja wa Diamond Platnumz, amekutana kwenye hii Exclusive na dstv.com na kukubali kuizungumzia hiyo na ishu nyingine zote.
 
Kama wataka muziki ya kukupendeza basi jiburudishe na kipindi ya Official African Chart kila Jumanne saa 21:00 kwenye MTV Base.
 

 

Related