Msanii Diamond Platnumz wakati wa kuzindua perfume yake Chibu.

Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz ambaye amezindua rasmi manukato yake (perfume) inayoitwa CHIBU, amezungumzia ishu ya baadhi ya watu kulalamikia bei ya shilingi laki moja na elfu 5 (Tsh. 105,000).

Kutana na Diamond tena kwenye Bongo 10 ya TRACE Mziki (323) inayopatikana sasa ndani ya DStv Catch Up kwenye Explora yako.

DStv Catch Up ni nini? Soma hapa.

Pia pata mengi kuhusu umuhimu wa DStv Explora hapa.

Pamoja na kuzungumzia bei na hayo ya watu kusema ni kubwa, ameongelea pia ishu nyingine mbalimbali kuhusu perfume hiyo, unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini akiongea kwenye exclusive na DStv.com.