Mchekeshaji MC Pilipili na Millard Ayo

Reporter wako wa DStv Millard Ayo yuko na wewe tena sasa hivi kupitia exclusive interview akiongelea maisha yake kwa ufupi na sanaa ya uchekeshaji ilipofikia Tanzania.
 
MC Pilipili ambaye sasa hivi anazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania na kufanya shows, ameongelea mapokezi yake pia na jinsi inavyotakiwa kufanyika.
 
Mbali na Pilipili, kutana pia na wachekeshaji wengine kwenye show ya Comedy Club, Jumamosi saa 19:30 EAT kwenye Maisha Magic East.