Msanii wa bongofleva, Bob Junior

Msanii wa bongofleva Bob Junior adakua mengi kuhusu maisha yake kwenye DStv.

Mwimbaji staa wa bongofleva Bob Junior amekutana na mic ya dstv.com na kukubali kuyaongea machache ambayo kwake yanachukua headlines wakati huu.

Kupata muziki na video kali, tazama Wakilisha Jumatatu hadi Ijumaa, saa 17:00 Maisha Magic Swahili, DStv channel 158.

Kwenye hii video hapa chini, Bob amejibu maswali kuhusu kufanya kolabo na Jose Chameleone, kuachana na mke wake na mengine.