Msanii Dogo Janja

Msanii Dogo Janja azawadiwa gari ya Benz na TipTop Connection

Uongozi wa kundi la muziki wa bongofleva Tanzania TipTop Connection ulimzawadia gari aina ya Benz msanii wake Dogo Janja ambaye siku kadhaa zilizopita ameachia single yake mpya inaitwa My Life.

Mengi kuhusu magari ya aina yoyote, kutana na Eddie Jordan, Sabine Schmitz, Chris Harris, Matt LeBlanc na wengine kwenye Top Gear Jumatatu saa 20:00 kwenye BBC Brit (120).

Ilikua ni suprise ambayo ilifanywa katikati ya interview ya radio ambapo Dogo Janja alikuwa akihojiwa na CloudsFM Ala za Roho chini ya Diva. Sasa hii Benz inakua gari la pili kwa Dogo Janja kupatiwa na Tiptop Connection.

Tazama picha za Benz ya Dogo Janja:

Jua pia utayatazama mengi zaidi na DStv Explora kama filamu kwenye BoxOffice na vipindi kwenye DStv Catch Up. Jaza fomu hii kupata Explora na pia Zapper decoder kwa urahisi:

 

script type="text/javascript" src="http://code.jquery.com/jquery-1.11.2.min.js">