Msanii Avril na ripota Millard Ayo

Msanii Avril akutana na ripota wa DStv Millard Ayo na kuzungumzia mengi kuhusu promotion ya single yake mpya.

Mwimbaji wa Kenya Avril alikutana na Millard Ayo ambaye ni reporter wa dstv.com Dar es Salaam na kuzungumza nae mambo kadhaa ndani ya dakika tatu.

Avril alikua ameambatana na Ben Pol kwenye kuipromote single yao mpya ya Ningefanyaje.

Single hii unaweza kuisikiliza na kutazama video yake kwenye show ya Hitlist, ukiletewa na DJ Creme Jumapili saa 11:00 kwenye Maisha Magic East.

Sasa hivi, tazama alivyodakuwa msanii huyu Avril kwenye interview: