E!VIP host Abby Plaatjez

​Ungana na Abby Plaatjez mwenye asili kutoka South Africa lakini anaishi Tanzania sasa hivi aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa 2013. Aliwahi kuhost Nirvana Show East Africa Television na kwa sasa ni mtangazaji kwenye radio ya Choice FM. Pia anahost E! VIP show Africa kwenye E!Entertainment (124).

Kutana na Abby kwenye E!VIP, kila Jumatatu saa 19:00 kwenye E.

Ameongelea mambo mengi ikiwa maisha yake baada ya Big brother maana hiyo ilimpa umaarufu sana, changamoto alizokutana nazo ni kati ya wanawake wanaharakati kwenye maisha. Msikilize: